This is absolutely brilliant and bravo to Alex and Muting¹u. KK On 15/09/2009 22:13, "Robin Gross" <[log in to unmask]> wrote: > Thank you, Alex and Muting'u! This is certainly a first for NCUC and I hope > it will help us to reach many more people in East Africa. Thanks for your > work to make that happen! > > Best, > Robin > > > On Sep 15, 2009, at 12:05 PM, Alex Gakuru wrote: > >> Hi Robin, all, >> >> Grace Muting'u has kindly translated the document into Kiswahili >> (spoken by at least 120 million people in East African Community >> member countries alone). >> >> Asante (Thanks) Grace. >> >> Regards, >> >> Alex >> >> ---begins---- >> ³Porojo Kumi maarufu zaidi kuhusu uhusikaji wa mashirika ya shirika >> la ICANN², na NCUC >> >> 21 Agosti 2009 >> _____________________________________________________________________________ >> Porojo ya Kwanza >> >> ³Masirika ya kijamii hayatahusika kwenya ICANN chini ya mpango >> uliopendekezwa na NCUC.² >> >> Uwongo: Wafanyakazi wa ICANN na wengine wanadai kwamba >> mashirika ya kijamii hukatwa tamaa yasijihusishe na ICANN >> kwa vile mpango uliopendekezwa na ICANN hauhakikishi kwamba >> viti katika Kamati ya GNSO vitagawiwa maeneo au washikadau wote. >> >> Ukweli wa mambo ni kwamba uanachama wa NCUC unawakilisha >> mashirika 143 yasiyo ya kibiashara pamoja na watu binafsi. Tangu >> mwaka 2008 uanachama wa NCUC umeongezeka kwa zaidi ya 215% >> - hii ni kwa mujibu wa mwito wa mashirika ya kijamii. Hakuna shirika >> hata moja lisilo la kibiashara lililotoa maoni kwamba kuwepo tu kwa >> viti vya maeneo katika Kamati ya GNSO ndipo kungewafanya kushiriki >> kwenye ICANN. Katika mashirika yaliyotoa maoni yao, hakuna >> lilisosema ya kwamba lingeshiriki kwenye ICANN sharti katiba ya >> NSCG ingewahakikishia kiti kwenye Kamati ya GNSO. >> >> Porojo ya Pili >> >> ³Wengi zaidi kutoka mashirika ya kijamii watashiriki kwenye ICANN >> Bodi itakapoingilia² >> >> Picha ya kweli: Kulazimisha kwa Bodi kwa katiba yake au kutosikiliza >> kwa Bodi kwa vikundi vya mashirika ya kijamii kutaonekana kama >> kukataliwa kwa maoni ya vile vikundi vingi vilivyoonelea kwamba ni hii >> ni dhuluma dhidi ya mashirika ya kijamii. Sifa ya ICANN kati ya >> mashirika yasiyo ya kibiashara itaharibika kabisa hatua mwafaka >> isipochukuliwa au suluhu kupatikana. Hata kama vitendo hivyo >> vingekubalika, matokeo kamili kwa wafanya kazi na kwa katiba >> ya NCSG itakuwa kuvinyima nguvu vikundi visivyo vya kibiashara >> na kuvifanya hata visipende kushiriki. Kuteuliwa kwa waakilishi na >> Bodi hufurutisha vikundi visivyo vya kibiashara na watu binafsi. >> Isitoshe, SIC inayowakilisha maeneo au washika dau wote inahitaji >> fedha nyingi sana ambayo mashirika mengi yasiyo ya kibiashara >> hayawezi kusimamilia. Pia, mpangilio huo utaleta mgawanyiko kati >> ya vikundi huku vikipigania wanachama na kura. Vikundi vingi visivyo >> vya kibiashara havitaweza kuingia ICANN GNSO chini ya mpango huo. >> >> Porojo ya Tatu >> >> Kuwepo kwa upinzani kunaweza kupuuzwa tu kama ³kampeni ya >> uandikaji barua² >> >> Hii ni shutma isiyo ya kweli: Upinzani mkali wa mashirika ya kijamii >> kwa katiba ya SIC ulitokea si mara moja bali mara mbili. Pia, kulikuwa >> na ongezeko kubwa la wanachama wa NCUC lililotokana na kutopendezwa >> kwa jamii yote kwa jumla na vitendo vya wafanyakazi pamoja na Bodi. >> Kujaribu kupunguza ushiriki wa mashirika ya kijamii hakutafanikiwa na >> kunaonyesha upotovu huu wa hali ya juu. ICANN inahitajika kuwa -- Dr. Konstantinos Komaitis, Lecturer in Law, GigaNet Membership Chair, University of Strathclyde, The Lord Hope Building, 141 St. James Road, Glasgow, G4 0LT, UK tel: +44 (0)141 548 4306 email: [log in to unmask]