Thanks all. Sorry I re-spelled her name - correctly it is "Grace Mutung'u" (as below that message). We are happy to have contributed! regards, Alex 2009/9/16 Konstantinos Komaitis <[log in to unmask]> > This is absolutely brilliant and bravo to Alex and Muting’u. > > KK > > > > On 15/09/2009 22:13, "Robin Gross" <[log in to unmask]> wrote: > > Thank you, Alex and Muting'u! This is certainly a first for NCUC and I > hope it will help us to reach many more people in East Africa. Thanks for > your work to make that happen! > > Best, > Robin > > > On Sep 15, 2009, at 12:05 PM, Alex Gakuru wrote: > > Hi Robin, all, > > Grace Muting'u has kindly translated the document into Kiswahili > (spoken by at least 120 million people in East African Community > member countries alone). > > Asante (Thanks) Grace. > > Regards, > > Alex > > ---begins---- > “Porojo Kumi maarufu zaidi kuhusu uhusikaji wa mashirika ya shirika > la ICANN”, na NCUC > > 21 Agosti 2009 > > _____________________________________________________________________________ > Porojo ya Kwanza > > “Masirika ya kijamii hayatahusika kwenya ICANN chini ya mpango > uliopendekezwa na NCUC.” > > Uwongo: Wafanyakazi wa ICANN na wengine wanadai kwamba > mashirika ya kijamii hukatwa tamaa yasijihusishe na ICANN > kwa vile mpango uliopendekezwa na ICANN hauhakikishi kwamba > viti katika Kamati ya GNSO vitagawiwa maeneo au washikadau wote. > > Ukweli wa mambo ni kwamba uanachama wa NCUC unawakilisha > mashirika 143 yasiyo ya kibiashara pamoja na watu binafsi. Tangu > mwaka 2008 uanachama wa NCUC umeongezeka kwa zaidi ya 215% > - hii ni kwa mujibu wa mwito wa mashirika ya kijamii. Hakuna shirika > hata moja lisilo la kibiashara lililotoa maoni kwamba kuwepo tu kwa > viti vya maeneo katika Kamati ya GNSO ndipo kungewafanya kushiriki > kwenye ICANN. Katika mashirika yaliyotoa maoni yao, hakuna > lilisosema ya kwamba lingeshiriki kwenye ICANN sharti katiba ya > NSCG ingewahakikishia kiti kwenye Kamati ya GNSO. > > Porojo ya Pili > > “Wengi zaidi kutoka mashirika ya kijamii watashiriki kwenye ICANN > Bodi itakapoingilia” > > Picha ya kweli: Kulazimisha kwa Bodi kwa katiba yake au kutosikiliza > kwa Bodi kwa vikundi vya mashirika ya kijamii kutaonekana kama > kukataliwa kwa maoni ya vile vikundi vingi vilivyoonelea kwamba ni hii > ni dhuluma dhidi ya mashirika ya kijamii. Sifa ya ICANN kati ya > mashirika yasiyo ya kibiashara itaharibika kabisa hatua mwafaka > isipochukuliwa au suluhu kupatikana. Hata kama vitendo hivyo > vingekubalika, matokeo kamili kwa wafanya kazi na kwa katiba > ya NCSG itakuwa kuvinyima nguvu vikundi visivyo vya kibiashara > na kuvifanya hata visipende kushiriki. Kuteuliwa kwa waakilishi na > Bodi hufurutisha vikundi visivyo vya kibiashara na watu binafsi. > Isitoshe, SIC inayowakilisha maeneo au washika dau wote inahitaji > fedha nyingi sana ambayo mashirika mengi yasiyo ya kibiashara > hayawezi kusimamilia. Pia, mpangilio huo utaleta mgawanyiko kati > ya vikundi huku vikipigania wanachama na kura. Vikundi vingi visivyo > vya kibiashara havitaweza kuingia ICANN GNSO chini ya mpango huo. > > Porojo ya Tatu > > Kuwepo kwa upinzani kunaweza kupuuzwa tu kama “kampeni ya > uandikaji barua” > > Hii ni shutma isiyo ya kweli: Upinzani mkali wa mashirika ya kijamii > kwa katiba ya SIC ulitokea si mara moja bali mara mbili. Pia, kulikuwa > na ongezeko kubwa la wanachama wa NCUC lililotokana na kutopendezwa > kwa jamii yote kwa jumla na vitendo vya wafanyakazi pamoja na Bodi. > Kujaribu kupunguza ushiriki wa mashirika ya kijamii hakutafanikiwa na > kunaonyesha upotovu huu wa hali ya juu. ICANN inahitajika kuwa > > > -- > Dr. Konstantinos Komaitis, > Lecturer in Law, > GigaNet Membership Chair, > University of Strathclyde, > The Lord Hope Building, > 141 St. James Road, > Glasgow, G4 0LT, > UK > tel: +44 (0)141 548 4306 > email: [log in to unmask] >